Ottu jazz band jesca

not puzzle over it! apologise, but, opinion..

Ottu jazz band jesca

Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. Kuwa mstaarabu Na Moshy Kiyungi, Dar es Salaam. Yawezekana baadhi ya watu wameshau kwamba kabla na baada ya Uhuru wa Tanganyika zilikuwepo bendi nyingi humu nchini zilizokuwa zikitoa burudani katika sherehe mbalimbali. Lakini mara baada ya kupatikana kwa Uhuru, kuliundwa bendi iliyopewa jina la NUTA Jazz ambayo kwa sasa ndiyo iliyo kongwe miongoni mwa bendi zilizopo hapa nchini.

Nyingine zilikuwa Kilimo ni kazi yetu na Mwengele. Mpiga gitaa la solo Amed Omar ndiye liyechaguliwa kuwa kiongozi wa bendi pia ndiye aliyetamba mno katika wimbo wa Mwangele. Mzee Gurumo ambaye ndiye aliye asisi mtindo wa Msondo, ukiwa ni wa asili ya kabila la Kizaramo, aliweza kutamba katika nyimbo.

Wakati huo huo mpiga Solo Saidi Mabera alichaguliwa kuwa kiongozi wa bendi hiyo. Waziri kabla ya kujiunga katika bendi hiyo, alikuwa katika bendi ya taarabu ya Lucky Star ya mjini Tanga.

Alifika katika jiji la Dar es Salaam akiwa na nia ya kwenda nchini Marekani kujifunza muziki. Juhudi zake hazikufanikiwa akapelekwa na nduguze kwenda kujiunga katika bendi hiyo. Alipotuwa alikabidhiwa kupiga Kinanda.

Miaka hiyo ya haditakribani kila bendi ilikuwa na wapiga vinanda.

Ottu Jazz Band - Queen Kase (Official Video) MP3 Download

Vijana Jazz walikuwa na Hassan Shaw, ambaye hivi sasa yupo Ughaibuni akipiga muziki katika kumbi mbalimbali za Kitalii. Ushindani kati ya bendi za muziki wa dansi ulipoongezeka, wanamuziki mwaka wanamuziki Muhidini Gurumo na Hassan Reheni Bichuka walihamia bendi ya Mlimani Park Orchestra.

Mtindo huo ambao aliwahi kuelezea ni wa asili ya ngoma za kabila lake la Kizaramo. Gurumo alirejea tena katika bendi yake ya Juwata mwakaakapewa wadhifa wa kuwa kiongozi wa bendi hiyo, baada ya kupiga muziki katika bendi hiyo ya Mliamani Park Orchestra pamoja na Orchestra Safari Sound OSS kwa nyakati tofauti. Bendi hiyo ilikuwa ikipiga muziki wake katika ukumbi wa Amana uliopo Ilala jijini Dar es Salaam, ikipakana na hospitali ya Amana.

Katika kipindi hicho bendi hiyo ilikuwa imesheheni wengi wenye vipaji vinavyotofautiana. Wengine ni pamoja na. Kufuatia Hospitali ya Ilala kupanuka, OTTU Jazz walitakiwa kuondoka kwa kile kilichodaiwa ni kuwabughudhi wagonjwa kwa makelele ya vyombo vya muziki wao. Hivyo walilazimika kuhamia katika ukumbi wa AfriCenter uliopo barabara ya Kigogo, ambako nako hawakudumu kipindi kirefu na hivi sasa wanapiga muziki wao popote wanapoalikwa hususan wamiliki wa Baa, ambapo huwa hakuna kiingilio ili kununua kinywaji chako.

Chama cha Wafanyakazi Tanzania baadaye kijiondoa katika ufadhili wa bendi hiyo, kikawaachia vyombo wajitegemee. Walijikusanya kutengeneza mikakati na kuamua kuipa jina la bendi kuwa Msondo Ngoma ikiwa imesheheni wanamuziki wengi wakiwemo wa zamani na wapya.

ottu jazz band jesca

Msondo Ngoma ina jumla ya wanamuziki 18 banca personal santander fundi mitambo mmoja.

Kiongozi wao ni Said Mabera ambaye pia ni mpigaji wa gita la Solo. Talanta za kutunga na kuimba za marehemu TX Moshi William, ambaye inasemekana yeye ndiye alikuwa mtunzi mkuu katika bendi hiyo. Inaaminika kuwa katika albamu moja waliokuwa wakiifyatua, TX alikuwa katunga nyimbo 8 hadi 9 wakati zilizobaki zinatungwa na Jumuiya.

Tofauti kabisa na miaka ya nyuma upinzani kati ya bendi za Mlimani Park na Msondo Ngoma Classic uliokuwa ukishihudiwa nyakati zile, umepungua kwa kiasi kikubwa. Baadhi ya wanamuziki wanaotajwa katika makala hii wamekwisha tangulia mbele za mungu akiwemo Mzee Muhidini Gurumo. Mungu azipumzishe roho zao pahala pema peoni, Amina.Post a Comment.

Bendi ya Msondo ngoma Oktoba 10, imeadhimisha miaka 50 toka ianzishwe mwaka Nyimbo nyingine zilizotamba zilikuwa za Mpenzi Sofia, Tumeishi toka zamani, na Walinicheka. Wakati huo huo mpiga Solo Saidi Mabera alichaguliwa kuwa kiongozi wa bendi hi.

Wana Njenje. Wakiwa Dar es Salaam walikuwa wakipiga muziki kwe nye ukumbi wa Amana uliopo Ilala. Kufuatia Hospitali ya Ilala kupanuka, OTTU Jazz walitakiwa kuondoka kwa kile kilichodaiwa ni kuwabughudhi wagonjwa kwa makelele ya vyombo vya muziki wao.

Walilazimika kuhamia ukumbi wa AfriCenter uliopo barabara ya Kigogo, ambako nako hawakudumu kipindi kirefu. Hivi sasa wanapiga muziki wao katika ukumbi wa Max Bar uliopo Ilala Bungoni. Chama cha Wafanyakazi Tanzania baadaye kijiondoa katika ufadhili wa bendi hiyo, kikawaachia vyombo wajitegemee. Walijikusanya kutengeneza mikakati na kuamua kuipa jina jipya la Msondo Ngoma Band.

Ottu Jazz Band - Usichezee Chuma Cha Moto

Bendi ya Msondo Ngoma imesheheni wanamuziki wengi wakiwemo wa zamani na wapya, wanaofikisha idadi yao kuwa 18 na fundi mitambo mmoja. No comments:. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.On leaving school he joined this illustrious band and then progressed through some of Tanzania's best known bands until finally founding Grand Magoma in This, their first CD album opens with a gorgeous soukous style number before settling down to the softer more home grown rumba sound with Ali and the group's sweet bass vocals drifting serenely along.

Interspersed with the vocals is some stunning Tanzanian style guitar riffing which really comes into its own in the sebens as the percussive driving force throbbing out its, dance to me, message - Guaranteed to leave your socks smoldering. A singer, composer and multi instrumentalist with a gift for guitar, Ally started his first band in at the tender age of fifteen and has played with many top groups in both Tanzania and Kenya since then.

Here, he and singer Njoroge Benson with keyboard player Joe Mwangi have got together with a bit of studio wizardry to produce a veritably stunning album. Both Ally and Njoroge are vocally beautifully clear and precise, their lovely solos and duets are only overshadowed by Ally's superb mastery of the accoustic guitar which grabs your ears and just won't let go.

Gorgeous singing and music and an hour long with ten tracks by various artists. A couple of wobbly starts but that's only to be expected when the record deck they used wasn't an automatic!

Absolutely pure magic is a total understatement as this wonderful band let loose with their modern style of Tanzanian dance music. Their fascinating vocal harmonies grab your attention immediately but so does the exuberance of their guitar playing, the sebens are gorgeous.

If that isn't enough to send you into raptures then just have a listen to their own brand of drum driven Swahili call and response vocals. Its enough to send me into a state of pure ecstasy. A definite No. A smashing album of soft guitar based East African rumba. Once heard you'll be hooked for life. Definitely the bee's knees of Taarab music as the girls get going.

Every track is sublime and you can't say that about many albums.

Msondo Ngoma

A wonderfull album of traditional Taarab music with the lovely voice of Daima. Very like 'Nyota'. A bit clicky but cleans up nicely. No centre to this record so anyone buying it will also get both tracks cleaned up on a choice of either.Mziki wa dansi zilipendwa- Polisi Jazz- Nimeamua kurudi kijijini. Mziki wa dansi zilipendwa- Bima lee- Fitina. Mziki wa dansi zilipendwa- Kasheba- Takadiri. Mziki wa dansi zilipendwa- Bima lee- Siku moja itafika nitafanikiwa. Mziki wa dansi zilipendwa- Tomatoma- Mwanaidi.

Mziki wa dansi zilipendwa- DDC- Fikirini naomba unisamehe. Orchestra Maquis Original - Nasononeka - Nasononeka. Mziki wa dansi zilipendwa- Super rainbow- Kipaji changu.

ottu jazz band jesca

Mziki wa dansi zilipendwa- Marijani -Mateso. Mziki wa dansi- zilipendwa- Mwenge Jazz- kupatwa kwa mwezi si kiama. Mziki wa dansi zilipendwa- Makassy- Muungano. Ogwang Lelo Okoth with Paddy J. Onono: Jacob Omolo. Mziki wa dansi zilipendwa -Jela ya mapenzi.

Mziki wa dansi- zilipendwa -Urafiki jazz- Paulina. Orchestra Makassy - Kufilisika Sio Kilema. Mziki wa dansi- zilipendwa Kasheba -Tatu saidi. Mziki wa dansi zilipendwa -Marijani- Mama Maria. Mziki wa dansi zilipendwa - Kasheba -Mashaka. Maquis Original du Zaire - Makumbele Original.

Mziki wa dansi- zilipendwa- Marquiz -Ether. Mziki wa dansi zilipendwa- JKT -Fakhari ya macho.Having been established init is the oldest active dansi band in Tanzania. In the early years of dansi, the NUTA Jazz Band was very influential both artistically and in terms of financial organization; namely, it was one of the first dansi bands to constitute itself into a "cooperative" of salaried musicians a model that would become widespread in the s.

NUTA Jazz Band held its position as one of the major Tanzanian dansi bands throughout the latter half of the s and most of the s. In it experienced a major change in personnel, with many of its most talented musicians including Muhiddin Maalim and Hassani Bitchuka leaving the band to form a new ensemble, Mlimani Park Orchestra. About at the same time, guitarist Saidi Mabera became the new leader of the band.

He wrote several of Juwata's hit songs of the s. After Mabera, both Maalim and Bitchuka who rejoined the band in became leaders. Maalim is credited with on the major hits of Juwata in the s, Usia kwa watoto. The band is still active as "Msondo Ngoma" msondo being a Swahili drum [2]performing regularly at the TCC Club in Temeke for example, [3] and is the oldest active dansi band in Tanzania.

This is reflected by its motto baba ya muziki"father of music". From Wikipedia, the free encyclopedia. This article needs additional citations for verification. Please help improve this article by adding citations to reliable sources. Unsourced material may be challenged and removed. African Books Collective. Daily News. Hidden categories: Articles needing additional references from April All articles needing additional references Wikipedia articles with WorldCat identifiers.

Namespaces Article Talk. Views Read Edit View history. Languages Italiano Kiswahili Edit links. By using this site, you agree to the Terms of Use and Privacy Policy.Having been established init is the oldest active dansi band in Tanzania.

In the early years of dansi, the NUTA Jazz Band was very influential both artistically and in terms of financial organization; namely, it was one of the first dansi bands to constitute itself into a "cooperative" of salaried musicians a model that would become widespread in the s. NUTA Jazz Band held its position as one of the major Tanzanian dansi bands throughout the latter half of the s and most of the s. In it experienced a major change in personnel, with many of its most talented musicians including Muhiddin Maalim and Hassani Bitchuka leaving the band to form a new ensemble, Mlimani Park Orchestra.

About at the same time, guitarist Saidi Mabera became the new leader of the band. He wrote several of Juwata's hit songs of the s. After Mabera, both Maalim and Bitchuka who rejoined the band in became leaders.

Maalim is credited with on the major hits of Juwata in the s, Usia kwa watoto. The band is still active as "Msondo Ngoma" msondo being a Swahili drum [2]performing regularly at the TCC Club in Temeke for example, [3] and is the oldest active dansi band in Tanzania.

This is reflected by its motto baba ya muziki"father of music". From Wikipedia, the free encyclopedia. This article needs additional citations for verification.

Please help improve this article by adding citations to reliable sources. Unsourced material may be challenged and removed.

ottu jazz band jesca

African Books Collective. Daily News. Categories : Tanzanian musical groups. Namespaces Article Talk. Views Read Edit View history. Languages Italiano Kiswahili Edit links. By using this site, you agree to the Terms of Use and Privacy Policy.Jazz Band Masterclass fills a void that has existed in jazz education and the adult music community for years.

Designed especially for adults? Not so much. We love dabblers, but they are not our core. If you are looking to make real improvement in your playing, with a faculty that matches and pushes your level of commitment and desire, we are for you.

Whether you are an adult amateur, a semi-pro, or even have a music degree, the question remains. How would it feel to raise your expectations of yourself and your music, and kick your dreams into high gear?

Jazz Band Masterclass groups meet for two hours per session, twice a month, year round. Your sessions are guided by the sure hand of your faculty leader, an accepted master in both performance and education.

You will learn new techniques every session, and experience the joy of true musical interaction and communication with other adults who love what you love - jazz and improvisation. You will play in public concerts each year, network with other adult jazz players, do some jam sessions, and much more. We built this for you.

Find your spot with us. We take the time to find the perfect spot for you. Challenging and educational, but comfortable and fulfilling. These exclusive groups require an audition, and operate at a high level of discourse and performance. Regular practice and commitment is not optional! These groups aim to develop a strong group identity.

The Bridge potentiates your JBM experience by connecting you and your faculty leader for individual, personalized work twice a month. This program is literally the Bridge between being a solid player, and being a serious Artist.

ottu jazz band jesca

The center piece of every great music program is private study. We have revamped our approach to private lessons and coaching, focusing on what will give the students the greatest chance of success and achievement.


Tojin

thoughts on “Ottu jazz band jesca

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top